Athari ya uchaguzi kwa biashara  Mbeya Tanzania
Huwezi kusikiliza tena

Athari ya uchaguzi kwa biashara Mbeya

Vijana wanaofanya biashara ya kubadilisha fedha katika mpaka unaoiunganisha Tanzania na Zambia, wamekubaliana kwa masharti maalumu kutofanya biashara yao ya kila siku katika siku ya uchaguzi tarehe 25 mwezi huu .

Wakati huohuo makanisa fulani yamekubaliana kuendesha misa siku ya jumamosi ilikuwaruhusu waumini wao kupiga kura jumapili .

Mwandishi wetu Arnold Kayanda aliyekuwa mkoani Mbeya na kutembelea mpaka wa Tunduma ametuandalia taarifa ifuatayo.