#Shinyanga mpo? Ni zamu ya Waalimu
Huwezi kusikiliza tena

#Shinyanga mpo? Ni zamu ya Walimu

Walimu hapa #Shinyanga wamemuelezea mwandishi wetu Tulanana chamgamoto za miundo mbinu za kufundisha.

Wanamtaka rais ajaye aitupie jicho sekta ya elimu, maslahi ya walimu na pia mazingira ya ufundishaji.

Wanafunzi wanalazimika kuleta maji shuleni kwa sababu shule haina kisima cha maji

#ishutatu #Shinyanga #uchaguzi2015 #Tanzania2015