#Shinyanga:Wenyeji waelezea tatizo la maji
Huwezi kusikiliza tena

#Shinyanga:Wenyeji waelezea tatizo la maji

Mwandishi wetu Tulanana Bohela ametembelea kijiji Cha Isela #Shinyanga na kukuta ishu sugu ya ukosaji wa maji safi.

Watu wengi huku wanasema kuwa kitu cha kwanza wanachokitaka rais ajaye awafanyie ni kuwahakikishia maji masafi

Wanafunzi huku wanalazimika kuleta maji shuleni kwa sababu shule haina kisima cha maji