Tupe mtaji tutaajiri wengi asema mkulima Iringa
Huwezi kusikiliza tena

Tupe mtaji tutaajiri wengi, asema mkulima Iringa

Iringa inasifika kwa ukulima wa mazao mbalimbali na ufugaji. Mfugaji kuku hodari Joash Kibiku anaeleza kuhusu rais anayemtaka.