Tunatakla rais atakayeleta uhuru wa dini Bukoba
Huwezi kusikiliza tena

Tunataka rais atakayeleta uhuru wa dini Bukoba

Wananchi wa Bukoba ambao wameathirika na machafuko yaliyosababisha makanisa kadhaa kuchomwa moto wanatoa maoni yao kuhusu kiongozi wanayemtaka.

Mchungaji Vedasto Athanas wa kanisa la Living waters International Church anasema kuwa kanisa lao lilichomwa moto na watu wasio julikana miongoni mwa makanisa mengine 6.

Sasa anasema angependa rais awe yule atakayehakikisha kuwa kuna uhuru wa kuabudu.

Tazama hapa maoni yake kama alivyomsimulia mwandishi wetu Tulanana Bohela