Je elimu itaimarika Tanzania ?
Huwezi kusikiliza tena

Je elimu itaimarika Tanzania ?

Katika mfululizo wa makala zetu maalum kuhusu uchaguzi wa Tanzania, hii leo tunaangazia suala la Elimu.

Wagombea wamekuwa wakinadi sera zao kuhusiana na suala hilo, kila mmoja akitoa ahadi kemkem kuimarisha sekta hiyo muhimu.

Lakini hali halisi iko vipi kwa sasa?

Mwandishi wetu Tulanana Bohela anaarifu zaidi.