Huwezi kusikiliza tena

Uchaguzi:Mchango wa vibonzo Tanzania

Ni dhahiri vyombo vya habari vikiwemo redio, televisheni na magazeti vinachangia sana kutoa taarifa, kuburudisha na kuelimisha. Kwa muda mrefu na hasa mwaka huu wa uchaguzi nchini Tanzania, vibonzo vimekuwa gumzo ambapo licha ya kuwa na ujumbe mzito lakini ni namna ya kipekee ujumbe huo hutolewa, kwa mzaha. Zuhura Yunus akiwa Dar es Salaam anaeleza.