Huwezi kusikiliza tena

Maalim Seif Hamad mgombea urais Zanzibar

Katika mfululizo wetu, leo tunaendelea na mahojiano ya ana kwa ana na baadhi viongozi wanaowania nafasi ya urasi katika uchaguzi huo wa Tanzania.

Leo ni zamu ya Maalim Seif Sharifu Hamad ambaye kwa sasa ni Makamu wa Kwanza wa rais wa serikali ya umoja wa kitaifa ya Zanzibar.

Katika uchanguzi wa mwaka huu yeye anawania urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama cha Wananchi CUF.

Katika mahojiano hayo maalum alizungumza na Zuhura Yunus na hapa anaanza kwa kueleza ataanzia wapi iwapo changuliwa.