Mbwembwe za kampeni Tanzania
Huwezi kusikiliza tena

Mbwembwe za kampeni Tanzania

Bendera hizo na ushabiki ni jambo moja lakini sera ni jambo jingine. Uchaguzi huu umekuwa wa kusisimua pengine kuwahi kuonekana katika historia ya Tanzania. Na hilo linaonekana wazi kwa jinsi kampeni zinavyoendeshwa kwa mbinu na vivutio vya kila aina. Zuhura Yunus ambaye alikuwa hapa Dar ameshuhudia mbwembwe zinazopamba kampeni.