Wanawake wanaopambana majimboni
Huwezi kusikiliza tena

Wanawake wanaopambana majimboni TZ

Wanawake nao mbali na kuwa ni miongoni mwa kundi lenye idadi kubwa ya wapiga kura lakini pia wanashiriki moja kwa moja kwa maana ya kuwa wagombea wa nafasi mbalimbali za kisiasa nchini Tanzania. Pamoja na kuwepo na viti maalum lakini wapo wengi ambao hupambana majimboni. Zuhura Yunus ameliangalizia zaidi suala hili.