Mahojiano ya Lowassa
Huwezi kusikiliza tena

Lowassa afafanua sababu ya kutaka urais

Huku zikiwa zimesalia siku tatu kabla ya uchaguzi nchini Tanzania wagombea urais wamo katika pilkapilka za mwisho kunadi sera za vyama vyao.

Edward Lowassa anawania nafasi hiyo ya urais kwa chama cha upinzani cha CHADEMA chini ya mwavuli unaoshirikisha upinzani UKAWA.

Amezungumza na mwandishi wa BBC Zuhura Yunus ,kuhusu mipango yake iwapo atachaguliwa.