Wasanii waanza hamasa kuhusu amani nchini Tanzania
Huwezi kusikiliza tena

Nyimbo za amani zaimbwa Tanzania

Ikiwa imebaki siku moja kwa taifa la Tanzania kupiga kura kumchagua rais na wabunge wa awamu ya tano, tayari Watanzania wameanza kukumbushana juu ya Amani. Mwandishi wetu Tulanana Bohela amepata nafasi kuzugumza na wasanii wa kundi la "the voice" na kututumia taarifa ifuatayo