Huwezi kusikiliza tena

Tume yasema iko tayari kwa uchaguzi

Tume ya Uchaguzi wa Tanzania imesema maandalizi ya uchaguzi wa Tanzania upo tayari. Zuhuru Yunus amezungumza na Mwenyekiti wa tume hiyo Jaji Damian Lubuva