Matokeo ya uchaguzi kufuatiliwa kidijitali Tanzania
Huwezi kusikiliza tena

Tume ya uchaguzi TZ kufuatilia uchaguzi kidijitali

Afisa wa tume ya uchaguzi Bernard Kindoli anaonyesha kituo kipya cha kidijitali cha kinachofuatilia uchaguzi nchini Tanzania.Kituo hicho kitakuwa kikipokea habari zote zinazotoka katika vituo 63,000 nchini humo.