Uchaguzi Mwanza
Huwezi kusikiliza tena

Vijana waliofanyia kazi tume walalamikia hela zao

Vijana waliopewa kazi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania kusimamia uchaguzi katika kata ya Igoma, Mwanza wamelalamikia kutolipwa hela zao. Afisa wa tume ameomba wasubiri watalipwa pesa zao.

Wamezungumza na mwandishi wa BBC Aboubakar Famau.