Tanzania Julius Nyerere
Huwezi kusikiliza tena

Mambo yalivyo kituo cha kutangazia matokeo Dar

Tume ya Taifa ya Uchaguzi leo imetangaza matokeo kutoka majimbo zaidi ya 30 na matokeo ya majimbo mengine bado yanasubiriwa.

Mwandishi wa BBC Robert Kiptoo yuko kwenye kituo cha tume hiyo jumba la mikutano ya Julius Nyerere jijini Dar es Salaam

Ametuandalia taarifa hii.