Makamishna Zanzibar
Huwezi kusikiliza tena

Makamishna wapinga kufutwa kwa uchaguzi Zanzibar

Makamishna wawili wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar wasema hawakushirikishwa katika uamuzi wa mwenyekiti wa tume hiyo Salim Jecha wa kufutilia mbali uchaguzi.