Matokeo
Huwezi kusikiliza tena

Mshindi wa urais Tanzania kutangazwa

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania Jaji Mstaafu Damian Lubuva amesema tume hiyo itatangaza matokeo ya mwisho ya urais baadaye leo.

Ametetea pia mchakato wa uchaguzi akisema shughuli yote ni halali na ilifuata katiba.

Mwandishi wa BBC Robert Kiptoo anasimulia.