Raila Odinga
Huwezi kusikiliza tena

Odinga ampongeza Magufuli, amshauri Lowassa

Waziri Mkuu wa zamani Kenya Raila Odinga amempongeza John Magufuli baada yake kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais Tanzania.

Aidha, amemshauri mgombea wa upinzani Edward Lowassa kwenye mahojiano na mwandishi wa BBC Joseph Odhiambo.