Kalenzi
Huwezi kusikiliza tena

Mwanamke aliyeanzisha shirika la kuwafaa watoto

Esther Kalenzi, mwanamke aliyeanzisha shirika la kuwasaidia watoto Uganda la 40 days over 40 miles ni mmoja wa mashujaa waliosahaulika Afrika.