Forbes
Huwezi kusikiliza tena

Watu wenye nguvu na ushawishi zaidi duniani

Jarida la Forbes limetoa orodha ya watu wenye nguvu na ushawishi zaidi duniani, huku Rais wa Marekani Barack Obama akiondolewa kutoka nafasi ya pili aliyoishikilia mwaka jana.