Huwezi kusikiliza tena

Mamba waleta maafa DRC

Wakaazi wa Kijiji cha Mboko mashariki mwa Jamuhuri ya kidemokrasi ya Congo wanakabiliwa na tatizo la mamba anayesumbua usalama wao

Inaarifiwa kuwa watu wengi wameuawa na mnyama huyo, huku wengine wengi kubaki walemavu.

Sikiliza taarifa ya Byobe Malenga, aliyetembelea kijiji hicho.