Monica Dzonzi
Huwezi kusikiliza tena

Mwanamke anayewezesha watoto Malawi

Monica Makeya Dzonzi, ambaye ni balozi wa vijana wa Unicef, ni mratibu wa kituo cha Ayise Bangwe nchini Malawi ambacho huandaa mafunzo ya kompyuta, michezo na ujuzi wa kujikimu kimaisha kwa ajili ya watoto na vijana.

Anaamini elimu ni muhimu sana maishani.