Aubameyang
Huwezi kusikiliza tena

Aubameyang, mchezaji aliyevunja rekodi Bundesliga

Pierre-Emerick Aubameyang amekuwa na mwaka wenye mafanikio, akiwa amefunga magoli mengi na kuweka rekodi mpya ya ufungaji Ujerumani.