Westgate
Huwezi kusikiliza tena

Mwathiriwa wa Westgate kuhusu shambulio Paris

Dorcas Mumbua ni mmoja wa walionusurika shambulio la kigaidi katika jumba la kibiashara la Westgate jijini Nairobi Septemba 21, 2013. Alichukuliaje mashambulio mjini Paris?