Sadio Mane
Huwezi kusikiliza tena

Mane: Tangu utotoni nilitaka kuwa mwanasoka

Jambo, mimi ni Sadio Mané wa Southampton na nimetoka Senegal, tafadhali nipigie kura niwe Mchezaji Bora wa Afrika wa BBC mwaka huu.