Wanawake
Huwezi kusikiliza tena

Wapewa talaka kwa sababu ya kupigia kura CCM

Wanawake 14 kutoka kisiwani Zanzibar, Tanzania wanaotuhumiwa kukiunga mkono chama tawala cha mapinduzi CCM katika uchaguzi uliopita kinyume na matakwa ya waume zao wamepewa talaka.