Marie-Ange Koutou
Huwezi kusikiliza tena

Muuguzi awa faraja ya raia wa CAR

Katika mfululizo wa makala za BBC za wanawake 100 siku mia moja, leo tunaangazia taaluma ya uuguzi. Ni dhahiri kwamba Wakati wa mizozo na vita kuna baadhi ya watu lengo lao ni kuokoa maisha.

Askari hawa ambao huwa katika mstari wa mbele wamo pia wauguzi.

Jamuhuri ya Afrika ya Kati ni nchi ambayo imezongwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe, mgogoro huo haumfichi muuguzi Marie-Ange Koutou ambaye hufanya kazi ya kuwaokoa watu dhidi ya utapia mlo, malaria na athari za ukosefu wa usalama