Papa Francis
Huwezi kusikiliza tena

Watoto watakaomkaribisha Papa Francis

Watoto wa kanisa la St Martin ambao watatumbuiza Papa Francis uwanja wa ndege wa JKIA baada yake kuwasili Kenya wanaendelea kufanya mazoezi.