Muheria
Huwezi kusikiliza tena

Askofu Muheria: Ziara ya Papa itatupatia mwamko mpya

Askofu Anthony Muheria wa jimbo la kanisa Katoliki la Kitui nchini Kenya amezungumzia kuhusu ziara ya Papa Francis nchini Kenya ambayo inatarajiwa kung'oa nanga Jumatano.

Anasema ziara hiyo italifaa taifa.