Anab Mohamed
Huwezi kusikiliza tena

Muuguzi aliyeibuka bora zaidi Kenya

Na katika mfululizo wa Makala ya BBC kuhusu wanawake, ya 100 women, leo tunaangazia mmoja wa wauguzi ambaye amekuwa akiwahudumia wagonjwa eneo la kaskazini mashariki mwa Kenya kwa miaka 27.

Bi Anab Mohamed alituzwa kama muuguzi bora nchini kenya mwaka 2010.

Mwandishi wetu Bashkas Jugsooda'ay ndiye ametuandalia taarifa hii.