Sheikh
Huwezi kusikiliza tena

Uhusiano wa Wakristo na Waislamu Garissa

Papa Francis anapozuru Kenya, moja ya masuala anayotarajiwa kuangazia ni uhusiano baina ya Waislamu na Wakristo.

Mwandishi wa BBC Bashkas Jugsodaay alizungumza na Sheikh mmoja Garissa kuhusu uhusiano unaofaa kuwepo kati ya waumini wa dini hizi mbili.