Mgodi wa mkasa Tanzania
Huwezi kusikiliza tena

Mgodi wa mkasa Tanzania

Habari ya uokolewaji wa wachimba madini watano waliokutwa hai baada ya kufukiwa chini ya ardhi kwa siku 41, umeendelea kusisimua wengi nchini Tanzania na nchi nyingine jirani kwa ujumla. Wakati mwili wa mchimbaji mmoja aliyekufa ardhini ukiwa umepatikana na hali za manusura zikiendelea kuimarika, mwandishi wa BBC Sammy Awami ametembelea eneo la tukio.