Huwezi kusikiliza tena

Vazi la Papa, Afrika

Akiwa nchini Kenya kiongozi wa kanisa katoliki Duniani Papa Francis atakitembelea pia kitongoji cha Kangemi.

Ambako huko kuna kikundi cha wanawake cha Dolly Craft, kinachojishughulisha na ushonaji wa mavazi ya makasisi.

Sikiliza ripoti ya David Wafula aliyetembelea kikundi hicho na kushuhudia jinsi wanavyoshona vazi la Papa.