Huwezi kusikiliza tena

Waumini washirikiana Tanzania

Tanzania ni mfano mzuri wa nchi ambzo waumini wake wa dini mbalimbali wamekuwa wakiishi kwa ushirikiano na mshikamano.

Sikiliza ripoti ya Halima Nyanza aliyetembelea ofisi inayoshughulika na masuala ya dini mbalimbali na kukuta wafanyakazi kutoka dini na dhehebu tofauti wakifanya kazi pamoja.