Papa Francis
Huwezi kusikiliza tena

Safari ya kufika kwa ibada ya Papa Nairobi

Watu wa tabaka mbalimbali waliamka asubuhi na mapema kufika uwanja wa Chuo Kikuu cha Nairobi kuhudhuria ibada ya misa iliyokuwa inaongozwa na Papa Francis.

Maafisa wa usalama walijizatiti kuhakikisha usalama, ikizingatiwa kwamba Kenya imeshambuliwa mara kadha hasa na wanamgambo wa kundi la Al-Shabab kutoka Somalia.

Mwandishi wa BBC Peter Njoroge alipiga picha hizi za video.