Kangemi
Huwezi kusikiliza tena

Kitongoji kilichojivunia kukaribisha Papa

Papa Francis alikamilisha ziara yake leo hii nchini Kenya, lakini siku yote ameangazia umaskini na kuwathamini vijana.

Alizuru kanisa Katoliki la Mtakatifu Yosefu Mfanyakazi katika kitongoji duni cha Kangemi viungani mwa mji wa Nairobi.

Si wengi waliofahamu kitongoji hicho kabla ya Papa Francis kuamua kutembea huko.

Mwandishi wa BBC David Wafula alizuru Kangemi na kutuandalia ripoti hii.