Kanisa
Huwezi kusikiliza tena

Wakatoliki na upangaji uzazi

Kanisa Katoliki limekuwa likipinga upangaji uzazi na wengi wa waumini wake huzingatia hili licha ya kampeni zinazowahimiza watu watumie njia mbalimbali za kupanga uzazi.