Huwezi kusikiliza tena

Wanawake Tanzania wazungumza na BBC

BBC itafanya mjadala maalum unaohusu wanawake mia moja kutoka sehemu mbali mbali nchini Tanzania kujadili masuala ya uongozi,urembo na mahusiano ya jamii.

Mwandishi wetu Tulanana Bohela, amekutana na washirika wawili wa mjadala huo na kuzungumza nao kuhusu uzoefu wao katika mazingira ya ajira.