Huwezi kusikiliza tena

Koffie azungumzia wimbo wa Selfie

Wimbo ujulikanao kama Selfie wa mwana muziki maarufu wa miondoko ya kilingala Koffi Olomide kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo unaedelea kuvuma duniani kote.

BBC imepata nafasi ya kufanya mahojiano na mwanamuziki huyo, alizungumza na Mbelechi Msoshi