Feminista
Huwezi kusikiliza tena

Kundi jipya la kuelimisha wanawake Tanzania

Mwishoni mwa Juma watu wengi huwa na mipango ya kujistarehesha kwa mambo mbali mbali ikiwa ni pamoja na kutembelea sehemu za vyakula na majumba ya sinema. Nchini Tanzania kundi jipya la Feminista Club, limeamua kuwakutanisha wanawake kila baada ya miezi mitatu kustarehe na kuangalia filamu kuhusu wanawake kwa minaajili ya kuelimisha kuhusu masuala ya usawa kwa wanawake.

Mwandishi wa BBC Alice Muthengi alijumuika nao katika kikao chao cha hivi karibuni na kutuandalia taarifa hii.