Trump
Huwezi kusikiliza tena

Matamshi ya Trump yagawanya watu

Watu katika maeneo mbalimbali duniani wamepokea matamshi ya Donald Trump kwamba Waislamu hawafai kuruhusiwa kuingia Marekani kwa hisia tofauti, baadhi wakipinga na wengine kumuunga mkono.

Mwandishi wa BBC Anthony Irungu alizungumza na baadhi ya watu Nairobi na kuandaa taarifa hii.