Uganda yanufaika na huduma za Google
Huwezi kusikiliza tena

Uganda yanufaika na Google

Kampuni ya Internet ya Google imezindua mtandao wa aina ya Wi-Fi katika mji mkuu wa Uganda wa Kampala. Hii ni sehemu ya mradi wa kampuni hiyo wa Project Link ambao una lengo la kusaidia nchi zinazoendelea kuweza kupata mtandao wa Internet ulio bora tena rahisi.

Jiji la Kampala ndilo jiji la kwanza duniani ambako juhudi hizi zimenza kufanyika. Lakini je hii itasaidia ?. Issac Mumena anaarifu zaidi.