Wananchi usafi
Huwezi kusikiliza tena

Maoni ya raia Tanzania kuhusu usafi Siku ya Uhuru

Nchini Tanzania, wananchi leo wameamkia kufanya usafi mitaani badala ya sherehe za kawaida za kila mwaka za kuadhimisha Siku ya Uhuru. Wananchi wanahisi vipi kuhusu hili?

Mwandishi wa BBC John Solombi alizungumza na baadhi soko la Kariakoo, Dar es Salaam.