Jean Paul Samputu
Huwezi kusikiliza tena

Samputu atumia nyimbo kuhimiza maridhiano Rwanda

Rwanda imesifiwa kwa juhudi ilizopiga tangu kutokea mauaji ya Kimbari. Raia wengi wameunga mkono serikali katika sera ya maridhiano na kusameheana ili kuepusha chuki na mauaji zaidi kutokea katika kulipiza kisasi.

Msanii Jean Paul Samputu ni miongoni mwa Wanyarwanda wanaotumia nyimbo kuhimiza maridhiano.

Zuhura Yunus amezungumza naye alipotembelea studio zetu za BBC mjini London.