Filamu
Huwezi kusikiliza tena

Filamu yasimulia maisha mitaa duni Kenya

Kundi la vijana nchini Kenya wametayarisha filamu inayosimulia maisha katika mitaa ya mabanda wakitumia simu za mkononi.

Filamu hiyo inashirikisha waigizaji ambao hawajulikani sana Kenya na inatumia lugha ya mtaani ijulikanayo kama sheng.

Walizungumza na Ken Mungai wa BBC.