Wanawake
Huwezi kusikiliza tena

Jamii inawachukuliaje wanawake wanasiasa?

Mjadala wa wanawake 100 ulifanyika Dodoma kati kati mwa Tanzania, kwa mjadala kuhusu wanawake na siasa.

Je, jamii inawachukuliaje wanawake wanaojitosa katika siasa?