Chakula asilia
Huwezi kusikiliza tena

Chakula cha kiasili kinavyovuta watu DR Congo

Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, migahawa inayouza chakula cha kiasili inaendelea kuwa kivutio kwa wengi nchini humo.

Wateja wanasema vyakula hivyo ni bora kuliko vyakula vilivyosindikwa.

Mwandishi wa BBC Byobe Malenga alizuru mtaa wa Baraka, mashariki mwa DR Congo, na kutuandalia taarifa hii.