Chakula
Huwezi kusikiliza tena

Kupata chakula cha Kiafrika Uingereza

BBC inatazama masuala ya chakula Afrika katika nchi za ughaibuni hasa hapa Uingereza. Ni gharama kwenda hotelini kila siku. Lakini kuna njia nyingine ambayo unaweza kuitumia. Salim Kikeke anakueleza zaidi