Chakula Tanzania
Huwezi kusikiliza tena

Vyakula vya kigeni vinavyopendwa Afrika

Katika mfululizo wa makala kuhusu chakula cha kiasili cha kiafrika, leo tunaangazia vyakula ambavyo si asili ya Afrika lakini vinatumiwa sana katika bara la Afrika.

Arnold Kayanda amemtembelea Dina Marios, mkazi wa Dar es Salaam, na kushiriki naye kuandaa Macaroni.